HABARI YA MAMA MWENYE KUWA HATARINI KISHA MTOTO KUFIYA TUMBO /EUJC/MIUJIZA NA MAAJABU

Share it with your friends Like

Thanks! Share it with your friends!

Close

Nilipokuwa Hospitalini katika kazi ya Baba Mungu… Yahweh , nikakutana na mama mujamjiko akiliya na kusema ,” mwalimu mwanangu kafwa tumboni , na hivi maisha ikohatarini,” basi nikamjibu nakusema,” Mungu wetu Yehovah hashindwi na kitu. kumbe wewe umepona , basi ondowa shaka na hofu. nipokuwa nikiomba , mama alisikiya majungu ya kuzaa , na akajifungu maramoja. basi tu share habari hii na wengine.


Comments

Write a comment

*

%d bloggers like this: